#ChangeTanzania @ChangeTanzania
This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337 forms.gle/1JbJ9n38cpsSu5… Tanzania Joined January 2012-
Tweets94K
-
Followers316K
-
Following1K
-
Likes20K
Joseph : Tuna nchi ambayo ukiwa mjinga na mfanya uhalifu unapanda vyeo kwa kasi sana sababu hatuna utawala wa sheria . washenzi wanapewa monisha #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi TY. bit.ly/44sxmxy X bit.ly/3Uh6V9e
Joseph : Katiba yetu inataka NEC waandikishe wapiga kura TANZANIA nzima, lakini kule Zanzibar kura za Muungano zinasimamia na ZEC, NEC hawana hata daftari la wapiga kura #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi TY. bit.ly/44sxmxy X bit.ly/3Uh6V9e
Joseph : Tarafa yenu moja inakusanya sana na halmashauri 20 ikiwemo Dar es salaam, lakini kina samia wametunyika hata Paracetamol na wamaondoa shule na vituo vya afya #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi TY. bit.ly/44sxmxy X bit.ly/3Uh6V9e
Joseph : Wazanzibar kwenye suala la Nchi yao kuwa na serikali sio mjadala, hivyo suala la serikali moja sio rahisi, ila hii Serikali mbili ni dhaifu sana, tatu ndio jibu #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi TY. bit.ly/44sxmxy X bit.ly/3Uh6V9e
Joseph : Tuna nchi ambayo ukiwa mjinga na mfanya uhalifu unapanda vyeo kwa kasi sana sababu hatuna utawala wa sheria . washenzi wanapewa monisha #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi TY. bit.ly/44sxmxy X bit.ly/3Uh6V9e
Je kwa nini CCM wanaogopa kutambua Tanganyika kama nchi? #KatibaMpya #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi CH. bit.ly/3wqFhyv FB. fb.watch/rPDKKmTJfk/ TY. bit.ly/44sxmxy X bit.ly/3Uh6V9e
Leo bunge huru,la mariaspace mjadala unaendelea, ccm nini wanaongopa?? Karibu yote saa 2 ya usiku,lazima tuikomboe hii taifa toka mkoloni mweusi ccm ,na hii katiba yake bovu. Asanteni
The new ‘scramble for Africa’: how a UAE sheikh quietly made carbon deals for forests bigger than UK | Carbon offsetting | The Guardian theguardian.com/environment/20…
Thank you very much @WorldBank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania.
"Tutampeleka Rais Samia Mahakamani, kwakua anatumia picha zetu kujinufaisha kisiasa" Mh. @TunduALissu
LISSU: SIKULIPWA PESA ZANGU ZA MATIBABU NILIPOPIGWA RISASI, NI WALAGHAI “Na juzi Nape anasema wamelipwa hela zao, mimi sijalipwa hela zangu za matibabu ambayo sheria inasema nitibiwe, na aliniambia niandike malalamiko yako ntakulipa, nikaandikaa mlomlongo hivi nikapeleka, miaka…
Tuko live hapa #KatibaMpya x.com/i/spaces/1ldxl…
Mojawapo ya maoni katika Rasimu ya Jaji Warioba ilikuwa ni serikali 3 ya Muungano, Zanzibar na Tanganyika, bila serikali 3 Tanganyika itapataje usawa na hadhi yake kama imefichwa kwenye Muungano? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Wazanzibar wapo huru kwa vitu vingi wanapokuja Tanganyika, wana uwezo wa kumiliki mali na kuishi bila mipaka. Lakini Zanzibar hali haipo hivi, je Watanganyika tumeridhia hali kubaki hivi bila mabadiliko yoyote? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Kwa muda mrefu tumekuwa na kero za Muungano katika pande zote mbili yani Zanzibar na Tanganyika. Je kero za Tanganyika zinatambulika vipi? Kwa nini Tangayika isiwe na serikali yake kama ilivyo Zanzibar? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Moja ya changamoto zilizopo ni Tanganyika kukosa uwakilishi katika muundo wa Muungano, hivyo kusingiziwa ina nyonya Zanzibar wakati huo huo Mali za Tanganyika zinatumika kuendesha serikali ya Muungano, na nyingine kuuzwa kienyeji bila udhibiti wowote. #MariaSpaces #KatibaMpya
Kwenye Muungano wa sasa ni nani analinda na kudhibiti matumizi ya raslimali za Tanganyika ambayo ni nchi na ilipata uhuru wake 1961 ikaungana na Zanzibar ila sio kwamba ilipotea. Je nani analinda maslahi ya Tanganyika na watu wake? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Tanganyika na Zanzibar ni nchi zimeungana na kutengeneza Tanzania, lakini Tanganyika haina serikali ila CCM wamekuwa wakisema wamepunguza Kero za Muungano, wamezipunguza vipi bila uwepo wa Tanganyika kwenye mjadala kuhusu hizo kero ? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.3M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberHilda Newton @HildaNewton21
850K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Lubasha Jr @MarekaMalili
621K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightJohn Heche @HecheJohn
735K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 73K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistThink Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.0M Followers 301 FollowingZitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteTwaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
287K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 499 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAJohn Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Tito Magoti, PG @TitoMagoti
245K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Moyo wa TAIFA ™️ @bajabiri
409K Followers 41K Following 💥BA,MA-IDS,UDSM| 💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀Mdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 390 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Richard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K FollowingTundu Antiphas Lissu @TunduALissu
742K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | SurvivorJebra Kambole @Advocate_Jebra
336K Followers 299 Following Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032TwalhaHanzuruni @MussaTumbwe
9 Followers 605 FollowingWarioba Range @RangeWario65291
1 Followers 98 FollowingF.MWAMBAGI @farajamwambagi
20 Followers 73 FollowingDickson Peter @DicksonPet55949
63 Followers 259 FollowingOrion @Mwaijande444777
9 Followers 124 Following I am bringing forth the transaction of love over everything from anywhere you are right now in your life.. enjoy life...and be natural. XxxxxEberhard Sumbu @eberhard_sumbu
56 Followers 604 Following Student at MUHAS{BScN}|Evangelist. ~Isaiah 45:3.Joseph Mrungu @mrunguj
35 Followers 541 Following Mwanaharakati Huru🇹🇿.Shabiki wa @YoungaAfrica na @Chelsea. Stori na maoni mbadala⬅️ followBack @mrungujofficialsamsilver @amsamsilver
10 Followers 156 Following Artist from East Africa &CEO @applemusicstudio Ex Sales manager @airtel_tanzania. Ex Regional coordinator Current working as Disaster Response manager @trcs1962Jesca Stibe @maiyahSuu
1 Followers 10 FollowingEmiliton Peter @emiliton47893
2 Followers 219 FollowingEmmanuel Ngao @engao2000
0 Followers 43 Followingjohn boko @johnboko485983
40 Followers 495 FollowingAbdul Sadallah @AbdulSadal70124
2 Followers 107 FollowingBig#br_Tz @Bigbro_Tz
138 Followers 1K FollowingJacob Morishazi @JMorishazi17384
14 Followers 255 FollowingNgusa Singili @ngusa55895
1 Followers 57 FollowingROcK oF tHe AgE. @RubenRicha39195
2 Followers 132 FollowingBrown @ummu0094
154 Followers 425 FollowingLaurian Ngaiza @kagaruki58
15 Followers 146 Followingnakuchapa @nakuchapaz
74 Followers 142 FollowingAnna Mkonongo @MkonongoAnna
1 Followers 56 FollowingTrailblazer @dommie_05
171 Followers 205 Following "Passionate explorer 🌍 | Lover of books 📚 | Constantly curious about the world &its wonders ✨ | Sharing thoughts and occasional adventures #LifeIsAnAdventure"alx @osterlich
10 Followers 247 FollowingSabore Ngarus Laizer @SaboreNgarus
204 Followers 341 Following Fanya kazi kama mtumwa ili baadaye uishi kama MfaumeAlly @AllyMziray94429
0 Followers 31 FollowingMakart96 @makart96
45 Followers 80 FollowingPeter Gati @PeterGati279007
14 Followers 217 Followingamos sangali mwanga @MwangaAmos24328
21 Followers 104 FollowingEZEKIELI FRANCIS @EzekieliFrancis
35 Followers 331 Followingjose malamso @jose_malam53918
22 Followers 431 FollowingDARIO SIMON @DARIOSIMON74826
0 Followers 82 Followingamani daudi @amanidaudi925
2 Followers 74 FollowingHezron Kawaya @HezronKawaya
24 Followers 394 Following Research, Financing, Risk taking, Development and Management.Manen eddo @MamenEddo55521
67 Followers 630 Followingmaulino Mgaya @MaulinoMga9308
4 Followers 2K Followingcentipede @ritrea23
610 Followers 2K Following Arsenal 🦾........“We are coming for the Premier League this season. Last year was a warning “....You win with us or you watch us winning!!Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.3M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberHilda Newton @HildaNewton21
850K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Lubasha Jr @MarekaMalili
621K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightJohn Heche @HecheJohn
735K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 73K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistThink Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.0M Followers 301 FollowingZitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteTwaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
287K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 499 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUAJohn Pambalu @John_Pambalu
282K Followers 1K Following BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.Tito Magoti, PG @TitoMagoti
245K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Mdude Chadema @mdudechadematz
123K Followers 390 Following I'm back from prison. MDUDE PEOPLE'S VOICE (MPV). An Activist For Democracy and Good Governance. Tanzanian🇹🇿.Richard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K FollowingTundu Antiphas Lissu @TunduALissu
742K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | SurvivorJebra Kambole @Advocate_Jebra
336K Followers 299 Following Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032MwanzoTvPlus @MwanzoTvPlus
111K Followers 213 Following Independent Online Media serving East Africa with premier news - Uncensored and UndauntedBoniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
18K Followers 2K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 Politics Review. Busokelo.wise mumy@shama'skitc.. @shamaskitchenet
1K Followers 1K Following a beautiful and wise lady mwanamke wa kisasa,mwanaharakati mzalendo mpenda haki mpambanaji mwenye hofu ya Mungu mjali utu kuliko vitu mama wa kipepeo mrembo.Dunya 🌑🌑 @DunyaRango
4K Followers 2K Following Dunya Today Akhera Tomorrow 🙏🏽🙏🏽. be good, Be smart, be positive... because anything can happen at any time.Marsha @FlagMarsha
2K Followers 719 Following TheFixerQueen|| Diplomat ||Social Worker|| Activist|| UNICEF Machampion|| PO&Team Leader||Social Media Operator||SOSDiplomats2022||YLF2023Ezra Mbogori @limirimbogori
959 Followers 646 Following proud east African who believes that east Africa will be a single, viable federation...one daygloria mafole @MafoleGloria
297 Followers 201 Following Policy analyst,human rights believer,gender activist,facilitator,moderator,researcher &lawyer(---) Onesmo Mushi @EduTalkTz
21K Followers 1K Following EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The PeopleLaizer Laizer @LaizerLaizer10
942 Followers 1K Following Political analysts/ mfugaji wa mbuzi na kondoo/ human rights activist/ maasai land defender.MwanzoTV @MwanzoTv
50K Followers 274 Following @MwanzoTv, The Official Twitter Feed of Premier News Source with Top Stories and Special Features about East African Region. Uncensored & Undaunted.Roncliffe Odit @RoncliffeOdit
9K Followers 1K Following Journalist @bbcafrica | Lead Presenter @bbcswahili #DiraYaDunia | Member @FPA_AfricaOPTIMA @ Internews: #.. @InternewsOPTIMA
457 Followers 424 Following Building resources & working with activists around the world to better prepare for, prevent, and respond to Internet shutdowns!David Mfugwa @DavidMfugwa2
21K Followers 1K Following Mwalimu(Bachelor of Arts with Education), katibu wa chadema Jimbo la Kilolo mkoa wa Iringa, diwani niliyemaliza muda wangu 2015 - 2020.-Dennis Itumbi, CBS @OleItumbi
2.3M Followers 9K Following Come Here, Go there.. The Home of Dreams! #SystemYaFacts #GOKInteracts Home of Ideas Connecting dreams to opportunityUS Africa Media Hub @AfricaMediaHub
41K Followers 1K Following Part of the U.S. State Dept. promoting U.S. engagement & U.S.-Africa foreign policy with media across Africa. https://t.co/mWbqMHRuMiNASA @NASA
80.3M Followers 174 Following There's space for everybody. ✨ Verification: https://t.co/8nok3NP4PWGwangway Ole yohani @gwangwayyohani
3K Followers 226 Following Investigative Journalist/ Freelance journalist/Digital storyteller/ 4 Times Winner of Excellence of Journalism Awards in Tanzania (EJAT)Dunia🌍 @DuniaSlaveDunia
27K Followers 7K Following Mungu wetu ni Mmoja na anatusikiliza Sote.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu siwezi kua mtumwa wa fikra bali niwe msema kweli na mpigania haki za Watanzania wote🙏Capt. Tony Mureithi @TonyMureithi
4K Followers 5K Following World citizen, fearless, compassionate who believes that all men are created equal, but UNDOUBTEDLY convinced that they don't treat each other EQUALLY.🇰🇪Bob Chacha Wangwe @BobWangwe
24K Followers 576 Following 🇹🇿Lawyer|Human Rights Activist|Agent of change|Ambivert|||| Executive Director of Jukwaa la Katiba Tanzania (Tanzania Constitution Forum)Hugokimaryo @hugokimaryo
872 Followers 550 Following Politician| Regional chairman CHADEMA elders wing MbeyaPallaiga,A @PallaigaA
6K Followers 3K Following Human Rights activists, Former Chairperson of CHADEMA youth wing Iringa Region, Secretary of CHADEMA Training Committee Nyasa Zone.Yahaya Omary Mpanda (.. @yahayaomary
2K Followers 122 Following Founder of WAKA (Wananchi na Katiba), Advocate - Zanzibar, Tanzania Parliamentary Candidate 2020, C.E.O at https://t.co/7dRsHml8bU & https://t.co/GCEPLeJKkrSir. Kasale M Mwaana @KasaleMwaana
2K Followers 2K Following Teacher by profession, Bsc.Ed biology and chemistry, natural conservationist and activist From Ngorongoro conservation AreaJenerali Ulimwengu @raiyajenerali
29K Followers 124 Following Official Twitter Page for Rai ya Jenerali Juzuu III, by Jenerali Ulimwengu. Launch Date - 6 Aug| Tweets are my own personal opinions| @jeneralionline hackedDenis Moses @DenisMoses14
2K Followers 757 Following A human rights lawyer,believer of democracy, human rights, equality & Justice. Humanity has no any price tag. Happiness derived by serving the neediest.Mwaura Robert @MwauraRobert2
6K Followers 5K Following An international enterprenuer,dealing in agriculture(plants,livestock,fisheries) manufacturing, logistics,warehousing, renewable energy,water,waste managementTanzania Leaks @TanzaniaLeaks
68K Followers 121 Following Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: [email protected].Elin Martinez @Martinez_Elin
5K Followers 1K Following Quality education is a fundamental human right and my focus @hrw. Researcher & advocate on many things related to #education. @RTEInitiative Chair. She/Her.Tanzania Forest Servi.. @TFSAgency
8K Followers 378 Following Established on 30th July, 2010 aims at improving the delivery of public services related to sustainable supply of quality forest and bee products and servicesBaba Mwita @BabaMwita
61K Followers 4K Following Husband | Father | Lawyer | Human Rights Activist | Democracy | Rule of Law | A People's Servant | An Agent of ChangeNavaya Ndaskoi @NavayaoleNdasko
2K Followers 453 Following 'If you must bow, let it be to a lofty mountain'- Wisdom of the Maori.Yakinifu🇹🇿🌍�.. @walikush
968 Followers 1K Following Innovator | Creator | Introvert | Hustler | Business Administrator | Entrepreneurviola julius @VwalaViola
16K Followers 2K Following history is herstory too... as a woman i take unusual effort to succeed for if i fail they will say women don't have what it takesJoseph Oleshangay @Oleshangay
9K Followers 1K Following Advocate for Human Rights, democracy, rule of good laws, indigenous rights. Weimar Human Rights Award Winner 2023. Proud son of the land of man/NgorongoroValentin Ngorisa @mfugaji
1K Followers 1K Following #Landless|Dispossessed, & devaluated by the state in#TZ.|Interested in #Ubuntu #just#conservation│#2015/2016 @EandM_UoM @OfficialUoM│Fan @ManUtd & @SimbaSCMuhammad Nyamwanda @Nyamwanda
38K Followers 18K Following Comms and Digital Media Strategist and trainer. Branding, Marketing, Advertising, Crisis Mngmnt and PR. Loves Politics and Aviation. Social Media afficionado.davidmcallister @davidmcallister
25K Followers 887 Following Vorsitzender des Auswärtigen Ausschusses / Chair of the Foreign Affairs Committee | Mitglied des Europäischen Parlaments 🇪🇺Lembrus Mchome @LembrusMchome
22K Followers 955 Following Mwenyekiti Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro. katibu chadema wilaya ya Mwanga. Mratibu msaidizi mkoa wa Arusha. Mtetezi na mpenda HakiJocelyne Msigwa Kiham.. @Jocelyne_msigwa
6K Followers 568 FollowingMr Dixon✌✌ @official_dixony
775 Followers 932 Following Identifying the correct and right priority of life is the key to a successful and fulfilled life.✌️✌️✌️Dr. Chris Cyrilo @DrCyrilo
33K Followers 1K Following Medical Doctor | Author | Health Literacy | Critics. +255713933736 +255745830775EAC Youth Ambassadors.. @EAC_yap
18K Followers 897 Following Official account of The East African Community Youth Ambassadors' Platform, a product of inclusive initiatives by the NCPR at EAC @jumuiya Headquarters, Arusha.Thank you very much @WorldBank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania.
#TANZANIA: LISSU AMVAA FATMA KARUME MAZIMA, AKINUKISHA DODOMA Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTz, @TunduALissu akiwasha #Dodoma, awavaa Wafanyakazi wa Umma kwa kuwa omba omba kwa Rais, atabiri yatakayotokea siku ya Wafanyakazi, amvaa vikali @fatma_karume Zaidi:…
Rais yupi mwenye sera bora zilizolenga maendeleo ya watu kwa ujumla?😎 Turudie poll⬇️
‼️#Tanzania ‼️ Huu mchezo wa polisi kukamata mtu alafu kuanza kutafuta ushahidi ni DHULMA kubwa! Kama mmewaita akina @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ kwa mahojiano mlitakiwa kuwaachia Simu zao za nini - fanyeni upelelezi muende mahakamani! Nje ya hapo waachieni! Au mmepanga kukaa…
Kwa mujibu wa PGO, askari mwandamizi wa Kituo cha polisi anapopata taarifa ya kupotea kwa raia, anatakiwa afanye utafiti ili kujua ilipo raia huyo, hata kama ameshakufa. Kisha Jeshi la Polisi linatakiwa kutoa taarifa kwa Umma. Hili ni JUKUMU & WAJIBU wa lazima sio hiari. Jeshi…
Serikali inapaswa kutunga Sheria kali dhidi ya wanaume wanao zaa na kuwatelekeza watoto.Wanaume wengi sana wame watelekeza partners(Wazazi wenzao) wao walio pata nao watoto na kuwaachia machungu mazito sana ktk malezi ya watoto.Hii inasababishwa na sheria kuwa butu juu ya ulinzi…
Nilieleza Mwanzoni mwa wiki hii kwamba kuna Mangemoniasis Ukimsikiliza Simbachawene anavyojenga na kutetea hoja zake utagundua kuwa anajitahidi kulipotosha Taifa kwa hekima za Bandia. Nashauri apuuzwe. MH.Luhaga Mpina yuko sahihi kabisa.
Nili-post clip hii miaka miwili iliyopita. Peter Mtinangi sasa ni marehemu; amefariki jana tarehe 21 Aprili. Waliompiga na kumsababishia kifo wako huru hadi sasa. Hakuna uchunguzi; hakuna kukamatwa, na hakuna hata kuhojiwa. Tukisema Jeshi la Polisi linalinda wauaji mtasemaje?
IGP Sirro, mwanachama wetu Peter Mtinangi anasimuliwa alivyo pigwa na Mbunge wa CCM, Elibariki Kingu. Hadi leo hakuna uchunguzi, hakuna aliyekamatwa, hakuna kesi na wala Mbunge Kingu hajahojiwa. Baada ya kupigwa aliwekwa ndani na kuachiwa kwa masharti ya kujiunga na CCM.
Shida iko! Kama wamarekani wanavyosema “Houston, we have a problem” 😄😄 Ila NGO zote kubwa sijaona mkitia neno - vipi? #ArudiShule si lelemama! Tukipata kiongozi mwingine kama Magufuli au huyu RC ndo tunaanza mchakamchaka tena! Mtoto wa kike mwacheni asome! Ujauzito si kosa…
#TANZANIA: RC SINGIDA AAGIZA KUKAMATWA KWA WANAFUNZI WALIOPATA MIMBA MASHULENI ILI WAWAJIBISHWE KISHERIA WAKIWEMO WAZAZI. Mkuu wa mkoa wa #Singida @DendegoHalima ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa wanafunzi wa kike waliopata mimba wakiwa shuleni wakiwemo…
Tunarudi kule kule na hii ni kwa sababu hawataki kuweka HAKI ya Mtoto wa Kike ya Kusoma kwenye SHERIA. Tumewaambia! Wanatupuuza! Kuna Rais wa KE na bado RC wa KE ananyanyasa the girl child. It’s a disgrace.
Shida iko! Kama wamarekani wanavyosema “Houston, we have a problem” 😄😄 Ila NGO zote kubwa sijaona mkitia neno - vipi? #ArudiShule si lelemama! Tukipata kiongozi mwingine kama Magufuli au huyu RC ndo tunaanza mchakamchaka tena! Mtoto wa kike mwacheni asome! Ujauzito si kosa…
Kati ya jambo mmoja tu la maana, lililosemwa kwenye bunge hili la ccm ni hili.. inawezekana likawa hili. Lakini sikiliza tu wabunge wenzake wa ccm!!! Hakuna hata alieonesha kuunga mkono jambo kama hilo… Ingekua kumsifia mama wangepiga makofi mpaka na kusimama juu ya meza..…
Yaani @amwaitenda2020 anachambua CAG report vizuri! Hii ya ATCL ni mbaya sana - eti inakodisha ndege kutoka Wakala wa serikali - hovyo kabisa! x.com/i/spaces/1ypjd…
🚨🚨#Tanzania #Ngorongoro ‼️ Marking World Heritage Day, the Maasai in all divisions of Ngorongoro district held protests Ndugu zetu wamaasai leo wameadhimsha siku ya Urithi wa Dunia kwa maandamano ya mabango ✊🏽 Natamani watanzania wote tungekuwa na umoja na uthubutu namna hii…
Matumizi ya hovyo ya fedha za umma na mzigo wa kodi kwa watu masikini. Nimepata fursa kuyasema haya kwenye uzinduzi wa mafunzo kwa viongozi wapya wa chadema kata 5 jimbo la Tarime vijijini.
Statement by Simanjiro pastoralists against the @OUtalii's insane proposal of massive added land alienation via new game reserves. youtu.be/ZH65MF6JID4
Seriously? Mnataka tumuombe Mungu kwa mafuriko mliyoyatengeneza ninyi wenyewe? Au tumuombe Mungu awaadhibu ninyi serikali kwa haya matatizo ya maksudi mliyowasababishia watu wa Rufiji?
Is this the "reformist" president? @USAmbTanzania As I said better speak up FAST before y'all will be seen backing a tyrant One of the (if not THE) worst president of #Tanzania to be called a reformist is embarassing Anyway #IStandWithTheMaasai - do you???
.@TheAtlantic @mccrummens: ‘THIS WILL FINISH US’ How Gulf princes, the #safari industry, & conservation groups are displacing the #Maasai from the last of their #Serengeti homeland. Vital read echoing @oak_institute on @SuluhuSamia govt’s escalating eviction campaign against the…
Ananilea : Mbunge analipwa mamilini, Rais pia na viongozi wengine wa kisiasa, lakini wanaofanyakazi kubwa Madiwani na serikali ya mtaa, hakuna mishahara? huu nimfumo gani? #WenyeNchiWananchi #KatibaMpya #MariaSpaces YT bit.ly/3VUBDHB X bit.ly/3vUa1Yt
Watu waoga wanapenda kusema “ Washauri wa Rais wanampotosha Rais “ halafu ukweli ni kwamba uteuzi wa Washauri unafanywa na Rais”